Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa, nyumbani kwa marehemu, Masaki jijini Dar es salaam, Julai 24, 2020
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa, nyumbani kwa marehemu , Masaki jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa, nyumbani kwa marehemu, Masaki jijini Dar es salaam, Julai 24, 2020
No comments:
Post a Comment