Habari za Punde

Kikundi Cha Uvuvi Kengeja Wakabidhiwa Boti ya Uvuvi na Taasisi ya Milele Zanzibar.

MKUU wa Wilaya ya Mkoani Issa Juma Ali akimkabidhi boti ya kuvulia samaki, kiongozi wakikundi cha uvuvi kutoka shehia ya Kengeja Salum Hamad Salum, katikati ni mfadhili wa Boti hizo kutoka Taasisi ya Milele Zanzibar Foundation Abdalla Said Abdall

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.