Habari za Punde

Maadhimisho ya Miaka Mitano ya Kituo cha Wanawake cha Kutengeneza Vifaa Vya Nishati ya Umeme wa Jua Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi Mdogo wa Jamuhuri ya Watu wa India Anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Baagwant Singh, alipowaili katika viwanja vya Kituo Cha Wanawake cha (Barefoot College Zanzibar) Kinyasini Kibokwa Wilaya ya Kaskazini A”Unguja, kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka Mitano ya Kituo Cha Wanawake cha Kutengeneza Vifaa vya Nishati ya  Umeme wa Jua hafla hiyo imefanyika leo 8-8-2020
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiuliza maswali wakati akitembelea maonesho ya Vifaa vya Nishati ya Umeme wa Jua wakati wa Maadhimisho ya Miaka Mitano ya Kituo cha Wanawake cha Kutengeneza Vifaa Umeme wa Jua (Barefoot College Zanzibar) Kinyasini Wilaya ya Kaskaziniu “A” Unguja leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo ya utengenezaji wa Vifaa vya Umeme wa Jua kutoka kwa Bi. Kazija Omar, Mewalimu wa Kituo cha Wanawake cha Kutengeneza Vifaa vya Nishati ya Umeme wa Jua Kinyasini Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 8/8/2020, kuadhimisha Miaka Mitano ya Kituo hicho.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo ya Bidhaa zinazotengeneza na Wanawake wa Kituo hicho wakati akitembelea maonesho hayo ya kuadhimisha Miaka Mitano Kituo cha Wanawake cha Kutengeneza Vifaa vya Nishati ya Umeme wa Jua (Barefoot College Zanzibar) kutoka kwa Bi. Brenda Geofrey.na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Maudline Castico
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia bidhaa aina ya asali zinazozalishwa na Kituo.wakati akipata maelezo kutoka kwa Ndg. Marisanga Waziri, alipokuwa akitembelea maonesho hayo ya kuadhimisha Miaka Mitano ya Kituo cha Wanawake cha Kutengeneza Vifaa vya Nishati ya Umeme wa Jua (Barefoot College Zanzibar) wakati wa maadhimisho ya Miaka Mitano ya Kituo hicho yaliofanyika Kinyasini Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Ndg. Marisanga Waziri, jinsi ya kuiandaa Asali, inayozalishwa katika Kituo cha Wanawake cha Kutengeneza Vifaa vya Nishati ya Umeme wa Jua (Barefoot College Zanzibar) wakati wa maadhimisho ya Miaka Mitano ya Kituo hicho yaliofanyika Kinyasini Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.