RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar
Bi. Maryam Juma Sadala (Mabodi) akitowa maelezo ya Kitaalam wakati wa hafla ya
ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Wakulima Nanenane Zanzibar,
yanayofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja,
(kulia kwa Rais) Kaimu Waziri wa Kilimi Maliasi Mifugo na Uvuvi Mhe.Haji Omar
Kheri na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Ufundi Wakala wa Serikali Huduma za
Matreka na Kilimo Zanzibar Ndg.Mohammed Omar Mohammed.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Wakulima
Nanenane, yanayofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja (kulia kwa Rais) Kaimu Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi
Zanzibar Mhe. Haji Omar Kheri na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Ufundi Wakala wa
Serikali Huduma za Matreka na Kilimo Zanzibar Ndg. Mohammed Omar Mohammed na
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasiliu Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Bi. Maryam
Juma Sadala Mabodi
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akimsikiliza Bahari wa Kampuni ya Uvuvi Zanzibar (ZAFICO) Ndg. Said Mwalim
akitowa maelezo ya aina ya mishipi wanayotumia katika uvuvi wa Bahari Kuu,
wakati akitembelea maonesho ya Siku ya Wakulima Nanenane yanayofanyika katika
viwanj vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja,(kushoto kwa Rais )
Mkurugenzi Kampuni ya Uvuvi Zanzibar
(ZAFICO) Ndg. Zahran Kassim El- Kharousy.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia moja
ya Ndoana inayotumika katika Uvuvi wa Bahari Kuu wakati akitembelera banda la
maonesho la Kampuni ya Uvuvci Zanzibar (ZAFICO) wakati wa Ufunguzi wa Siku ya
Wakulima Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Kizimambini Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja NA (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar.Mhe Hamad
Rashid Mohammed na Baharia wa Kampuni ya Uvuvi Zanzibar Ndg. Said Mwalim.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein,
akitembelea mabanda ya Maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Wakulima ya Nanenane
yanayofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wiliya ya Magharibi “B” Unguja, na
(kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Mhe. Hamad Rashid Mohammed na Waziri wa Nchi
Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mohammed Aboud Mohammed na (kulia kwa
Rais) Profesa Saleh Idrissa.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akimsikiliza Mkuu wa Kilimo JKU Kanali Jabir Saleh Simba, wakati akitembelera maonesho ya
Maadhimisho ya Siku ya Wakulima Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya
Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akiuliza maswali wakati alipokuwa akitembelea banda la maonesho la Taasisi ya
Utafiti wa Mifugo Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa
Mifugo Zanzibar Dk. Kassim Gharib
No comments:
Post a Comment