Habari za Punde

Muonekano wa Jengo la Maduka ya Kisasa Zanzibar Michezani Mall likiwa katika Hatua za Mwisho Kukamilisha Ujenzi Wake.

Muonekano wa Jengo la Kisasa la Maduka Michezani Mall Jijini Zanzibar likiwa katika hatua za mwisho umaliziaji ujenzi wake kwa ajili ya ufunguzi na kutowa huduma za kibiashara mbalimbali kwa Wananchi wanapofika katika jengo hilo litakalokuwa na maduka mbalimbali ya bidhaa tafauti.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.