Habari za Punde

DIAMOND NA ZUCHU WANOGESHA MKUTANO WA KAMPENI WA CCM KIRUMBA WAKATI JPM AKIVUNJA REKODI YA NYOMI

Mgombea Urais wa CCM ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimzawadia kofia msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz baada ya kutumbuiza maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Jumatatu Septemba 7, 2020
Msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz akitumbuiza maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea Urais wa CCM ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Jumatatu

Mgombea Urais wa CCM ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipungiana mikono na msanii Zuchu aliyetumbuiza  maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza
Msanii Zuhura Kopa maarufu kama Zuchu akitumbuiza  maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.