Habari za Punde

Taasisi ya Milele Zanzibar Foundation Yakabidhi Vifaa Mbalimbali Hospitali ya Chakechake Pemba.

MRATIB wa Milele Zanzibar Faoundation Pemba Abdalla Said Abdalla, (kulia) akimkabidhi  mashine ya kufulia nguo yenye tahamani ya Milioni 2,000,000/= Dktari Dhamana wa Hospitali ya Chake Chake Ali Omar Khalifa, hafla ya makabidhiano hayo yamefanyika katika ofisi za Milele Mfikiwa Wilaya ya Chake Chake.

MRATIB wa Milele Zanzibar Faoundation Pemba Abdalla Said Abdalla, (kulia) akimkabidhi  mashine ya  kuchemshia vifaa vya upasuaji pamoja na nguo za operetion yenye thamani ya shilingi Milioni 12,000,000/=, Dktari Dhamana wa Hospitali hiyo  Ali Omar Khalifa, hafla ya makabidhiano hayo yamefanyika katika ofisi za Milele Mfikiwa Wilaya ya Chake Chake
DAKTARI Dhamana wa Hospitali ya Chake Chake Ali Omar Khalifa, akitia saini mkataba wa kupokea msaada wa vifaa mbali mbali kutoka Taasisi ya Milele Zanzibar Faoundatio, hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika ofisi za Milele Mfikiwa Wilaya ya Chake Chake Pemba.

WATENDAJI kutoka Taasisi ya Milele Zanzibar Foundation Pemba, wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi kutoka Hospitali ya Chake Chake,  mara baada ya kukabidhiwa vifaa mbali mbali vya Hospitali ya Chake Chake.
(Picha na  Abdi  Suleiman - Pemba )

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.