Habari za Punde

Rais Mteule wa Zanzibar Kwa Tiketi ya CCM Mhe.Dkt. Hussein Mwinyti Akabidhiwa Cheti cha Ushindi na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar Jaji Mkuu Mstaaf wa Zanzibar Mhe Hamid Mahmoud Hamid.

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jaji Mkuu Mstaaf wa Zanzibar Mhe Hamid Mahmoud Hamid akimkabidhi Cheti cha Ushindi Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Rais Mteule wa Zanzibar  Mhe Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi baada kutangazwa Mshindi wa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa majumuisho ya kura na kutangazwa matokea Chuo cha Utalii Maruhubi Jijini Zanzibar jana 29/10/2020.
Rais Mteule wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi akionesha Cheti chake cha ushindi baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar. Jaji Mkuu Mstaaf wa Zanzibar Mhe,.Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi baada ya kutangazwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar, katika ukumbi wa Chuo Cha Utalii Maruhubi Jijini Zanzibar.  

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama cha ADA-TADEA Mhe. Juma Ali Khatib akizungumza na kutowa shukrani kwa Niaba ya Wagombea Urais wezake, wakati wa hafla ya kutangazwa mshindi wa Urais wa Zanzibar katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Jijini Zanzibar.
Rais Mteule wa  Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi , akizungumza na kutowa shukrani kwa Wananchi kwa kumchagua kuiongoza Zanzibar  baada ya kutangazwa mshindi wa kiti cha Urais na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jaji Mkuu Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Hamid Mahmoud Hamid, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.