Habari za Punde

Mgombea Mwenza wa Urais kwa Tiketi ya CCM Mhe. Samia Suluhu Aendelea na Kampeni Mkoani Manyara.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM  katika Uwanja wa Haydom Mkoani Manyara. 
Umati wa Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Haydom Mkoani Manyara wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Haydom Mkoani Manyara.
Umati wa Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Haydom Mkoani Manyara wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Haydom Mkoani Manyara leo Septemba 30,2020.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.