Habari za Punde

Mgombea Urais wa Zanzibar Kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi Apiga Kura Yake Kituo cha Kariakoo Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja jana 28/10/2020.

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi akiwa katika foleni akisubiri zamu yake wakati wa zoezi la upigaji kura lililofanyika Nchi nzima jana 28/10/2020, akiwa katika cha kupigia kura cha Kariakoo Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jimbo la Kwahani Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Mhe,.Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi akipiga kura yake jana katika Kituo cha Kupigia Kura Kariakoo Jimbo la Kwahani Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinnduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Hassan Mwinyi akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar baada ya kumaliza zoezi la kupiga kura katika Kituo cha Wapiga Kura Kariakoo Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.