Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Amefungua Jengo Jipya la Skuli ya Kisasa Iliopewa Jina la Dkt. John Pombe Magufuli Sekondari Skuli Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk., Ali Mohamed Shein akikata utepe kuifungua Skuli ya Kisasa ya Sekondari  iliopewa jina la Dkt.John Pombe Magufuli Sekondari Skuli, ilioko katika eneo la Mwanakwerekwe Jijini Zanzibar.na (kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu wa Wizara  hiyo Dkt. Eng. Idriss Muslim Hijja na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe.Dk. Hussein Mwinyi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiondoa kipazia kuweka jiwe la msingi la ufunguzi wa Skuli mpya ya Kisasa iliyopewa jina la Dkt. John Pombe Magufuli Sekondari Skuli Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe.Dk.Hussein Mwinyi. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Mwanafunzi wa Kidatu cha Tano wa Skuli ya Sekondari ya Dkt.John Pombe Magufuli . Fatma Ally Othman , akitowa maelezo jinsi ya kupima mawimbi ya maji, alipotembelea maabara ya Fizikia,  baada ya ufunguzi wa Skuli hiyo leo 9/10/2020 na kulia Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe.Dk. Hussein Mwinyi, hafla hiyo imefanyika leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi wa Kidatu cha Tano wa Skuli ya Sekondari ya John Pombe Magufuli .Ahmada Hamid, Skuli hiyo imepewa jina hilo baada ya kufunguliwa  rasmin leo 9/10/2020 na (kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Dkt. Idriss Muslim Hijja, Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe.Dk .Hussein Mwinyi na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe wakiwa katika chumba cha Maabara ya somo la Baioloji 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Mwalimu wa Somo la ICT Ndg.Salum Mziwanda, wakati akitembelea madarasa ya Skuli hiyo mpya na ya kisasa iliopewa jina la Dkt.John Pombe Magufuli,baada ya kufunguliwa  rasmin leo 9/10/2020 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Mwalimu wa Somo la ICT Ndg.Salum Mziwanda, wakati akitembelea madarasa ya Skuli hiyo mpya na ya kisasa iliopewa jina la Dkt.John Pombe Magufuli,baada ya kufunguliwa  rasmin leo 9/10/2020 

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Skuli ya Kisasa la Sekondari iliopewa jina la Dkt.John Pombe Magufuli Sekondari Skuli Zanzibar hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Skuli hiyo huko Mwanakwerekwe Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Skuli ya Kisasa ya Sekondari iliofunguliwa na kupewa jina la Dkt.John Pombe Magufuli Sekondari Skuli Zanzibar.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.