Habari za Punde

Rais Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli amuapisha Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Ikulu ya Chamwino Dodoma leo

BAADHI  ya Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe Kassim Majaliwa katika viwanja vya Ikulu  Chamwino Jijini Dodoma leo 16/11/2020.(Picha na Ikulu)
VIONGOZI  wa kidini  wakifuatilia hafla ya kuapishwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Chamwino Dodoma leo 16/11/2020.(Picha na Ikulu)
BAADHI  ya Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe Kassim Majaliwa katika viwanja vya Ikulu  Chamwino Jijini Dodoma leo 16/11/2020.(Picha na Ikulu)
BAADHI  ya Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe Kassim Majaliwa katika viwanja vya Ikulu  Chamwino Jijini Dodoma leo 16/11/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutoa wakati wa hafla ya kumuapisha Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Chamwino Dodoma leo 16/11/2020.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi  akiwa na Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa wakielekea katika sehemu ilioandaliwa kwa ajili ya tafrija maalum katika viwanja vya Ikulu Chamwino baada ya kumalizika kwa hafla kuapishwa Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa leo 16/11/2020(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Kassim Majaliwa akizungumza  na kubadilisha mawazo  ( Kulia kwake ) Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa  na (kushoto kwake ) Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, wakiwa katika viwanja vya Ikulu Chamwino Dodoma baada ya kumalizika kwa hafla ya kuapishwa Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Kassam Majaliwa leo 16/11/2020.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli  akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa na Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakiwa katika viwanja vya IKulu Chamwino Dodoma leo baada ya kumalizika kwa hafla ya kumuapisha Waziri Mkuu wa Tanzania.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na (kushoto kwake) Makamu wa Rais wa Jamuhuri yaMuungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na (kulia kwake) Spika wa
Bunge la Tanzania Mhe. Job Ndugai na Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma, wakifuatilia hafla ya kuapishwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa katika viwanja vya Ikulu 
Chamwini Dodoma leo 16/11/2020.(Picha na Ikulu)
VIONGOZI  wa Vyama vya Siasa Tanzina  wakifuatilia hafla ya kuapishwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Chamwino Dodoma leo 16/11/2020.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Waziri  Mkuu wa Jamuhuri  ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa, hafla hiyom imefanyika  katika viwanja vya
Ikulu Chamwino Dodoma leo 16/11/2020.(Picha na Ikulu)


WAZIRI Mkuu Mteuli Mhe Kassim Majaliwa akiwa na Mawaziri wateule wa Fedha na Mipango na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, wakiwa ckatika viwanja vya Ikulu Chamwino wakisubiri kuapishwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. John Pombe Magufuli  katika viwanja vya Ikulu  Chamwino Dodoma leo 16/11/2020.(Picha na Ikulu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.