Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi amemteua Dk. Mwinyi Talib Haji kuwa
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar ambapo kabla ya uteuzi huo Dk. Mwinyi alikuwa
Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki.
No comments:
Post a Comment