Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi Amemuapisha Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Ikulu leo 4/11/2020.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Dkt. Mwinyi Talib Haji, hafla hiyo imefanyika  leo 4/11/2020 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Dkt. Mwinyi Talib Haji, hafla hiyo imefanyika  leo 4/11/2020 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini Hati ya Kiapo ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Dk. Mwinyi Talib Haji, baada ya kumuapisha  leo 4/11/2020, hafla hiyo imefanyika  katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi hati ya kiapo Dk.Mwinyi Talib Haji baada ya kumuapisha kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar hafla iliyofanyika  leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(katikati) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi  akiwa katika picha ya pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar  Dk. Mwinyi Talib Haji, baada kumuapicha leo 4/11/2020 hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.