Mkurugenzi Sera na Mipango ZRB Haji Saadat akiwasilisha mada kuhusiana na Umuhimu wa Kodi na Mwenendo wa ukusanyaji wa mapato katika semina ya siku moja kwa waheshimiwa Wawaklilishi iliofanyika katika ukumbi wa ZURA Maisara Zanzibar.
Mkuu wa Kitengo cha Sheria ZRB Khamis Jaffar Mfaume akitoa mada kuhusiana na Sheria za Kodi zinazosimamiwa na ZRB katika semina ya siku moja kwa waheshimiwa Wawaklilishi iliofanyika katika ukumbi wa ZURA Maisara Zanzibar.
Meneja Uhusiano na Huduma kwa Walipa Kodi ZRB Shaaban Yahya Ramadhan akifafanua baadhi ya maswala yalioulizwa katika semina ya siku moja kwa waheshimiwa Wawaklilishi iliofanyika katika ukumbi wa ZURA Maisara Zanzibar.
Baadhi ya Waheshimiwa Wawakilishi waliohudhuria katika Semina ya Siku moja kuhusiana na Umuhimu wa Kodi na Mwenendo wa ukusanyaji wa mapato katika mafunzo ya iliofanyika katika ukumbi wa ZURA Maisara Zanzibar.
No comments:
Post a Comment