WANAFANYAKAZI wa kitengo cha UUB kutoka Wizara ya
Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Pemba, wakipakia mchanga kwenye katapila,
ili kuwekwa sehemu maalumu kwa ajili ya kupondwa zege ili kubwaga katika daraja
linalojengwa kwenye barabara ya Madungu Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Rashid Hadidi Rashid
wa kwanza kulia, akiangalia hali ya ujenzi wa daraja unavyoendelea katika
barabara ya Chake Chake-Mkoani eneo la Madungu Polisi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment