KASISI Kiongozi Canon Charles Majaliwa akifungisha
ndoa ya John Boniface na Resituate Boniface, mara baada ya kumalizika kwa misa
ya Sikukuu ya Krismas iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Yohana Mbatizaji
Pemba, ibada hiyo imefanyika Kizimbani Wete.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
ASKOFU Michael Henry Hafidhi kutoka kanisa la
Anglikana Zanzibar katikati, akiongoza ibada ya misa ya Krismas kitaifa Pemba
ibada iliyofanyika kanisa la Mtakatifu Yohana Mbatizaji Kizimbani Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAUMINI wa Dini ya Kikiristo kutoka kanisa la
Mtakatifu Yohana Mbatizaji Kizimbani Wete
Pemba, wakifuatilia kwa utulivu ibada ya skukuu ya krismas kanisani hapo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Wilaya ya
Wete Mohamed Mussa Seif akitoa salamu za skukuu ya Krismas, kwa waumini wa dini
ya kikristo wakati waibada iliyofanyika Kizimbani(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA


0 Comments