Habari za Punde

KILELE CHA MAADHIMISHO YA UKIMWI DUNIANI - KILIMANJARO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia vitunguu, kwenye banda la Kikundi cha KONGA, wakati akikagua mabanda katika Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani, yaliyofanyika Kitaifa katika uwanja wa Mandela, Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Desemba 1, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.