Habari za Punde

Makamu wa Rais Mhe. Samia akutana na watumishi wa Idara ya Muungano

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi wa Menejmenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Watumishi Idara ya Muungano na Utawala kwenye siku yake ya tatu ya hitimisho la kikao Kazi katika Taasisi zilizo Chini ya Ofisi yake kilichofanyika leo Disemba 12, 2020  Jijini Dodoma. kushoto ni Naibu  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mwita Waitara.

 (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Baadhi ya watendaji na Viongozi wa Menejmenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Watumishi Idara ya Muungano na Utawala wakiwa katika kikao pamoja na makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan kilichofanyika leo Disemba 12, 2020  Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.