Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA, Mrakibu Mwandamizi wa Uhamiaji, Muhsini Masheko (wa pili kulia), akielezea muundo wa pasi mpya za kusafiria wakati wa ziara ya naibu waziri huyo .Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mkuu wa Kitengo cha Kumbukumbu, Ally Juma akimuonyesha jalada lake Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo wakati wa ziara ya naibu waziri huyo Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji, Zanzibar.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
No comments:
Post a Comment