Habari za Punde

Sehemu ya Jengo la Beit el Ajaib limeanguka

 Jengo la bayt el Ajaib ambalo limo katika kufanyiwa ukarabati mkubwa limeanguka baadhi ya sehemu wakati ujenzi ukiendelea. Taarifa zaidi zitafuatia

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.