BAADHI ya Watendaji wa Serikali Kisiwani Pemba
wakishiriki katika zoezi la ufanyaji wa Usafi kwa kukata majani, ikiwa ni
shamra shamra za miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mattar Zahor Massoud wa
kwanza kulia, akiungana na wananchi na viongozi mbali mbali wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar katika usafishaji wa mji wa chake Chake, ikiwa ni shamra
shamra za miaka 57 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
BAADHI ya wafanyakazi kutoka taasisi mbali mbali za
Serikali Kisiwani Pemba, wakizoa mataka na kwenda kuyatupa wakati waufanyaji wa
usafi katika mji wa Chake Chake, ikiwa ni shamra shamra za miaka 57 ya
Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA
ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment