6/recent/ticker-posts

Mchezo wa Fainali Kombe la Mapinduzi Cup Kati ya Simba na Yanga Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.

Mshambuliaji wa Timu ya Simba Kagere akiruka kihuzi cha beki wa Timu ya Yanga wakati wa mchezo wao wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi Cup uliofanyika usiku huu Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar Timu ya Yanga imeibuka mshindi kwa mikwaju ya penenti 4-3. 











 

Post a Comment

0 Comments