Habari za Punde

Msanii wa Bongo Flava Konde Boy Anogesha Fainali ya Kombe la Mapinduzi Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.

Msanii wa Muziki wa Bongo Flava Kondeboy ametowa burudani kwa Wananchi wa Zanzibar na Mashabiki wa mchezo wa Soka Zanzibar katika mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi uliofanyika jana usiku katika uwanja wa Amaan Timu ya Yanga imeshinda mchezo huo kwa mikwaju ya peneti 4-3. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.