Habari za Punde

Mzamiru Yassin wa Simba Mchezoji Bora Mchezo wa Nusu Fainali na Namungo Ajinyakulia Shs Laki Tano Kutoka NIC

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bila la Taifa Tanzania Dkt.Irehema Doriye akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi laki tano Mchezaji Bora wa Mchezo wa nusu Fainali Michuano ya Kombe la Ma;pinduzi Cup Mzamiru Yassin, baada ya kuibuka mchezaji bora katika mchezo huo kati ya Simba na Namungo uliofanyika Uwanja wa Amaan Jana Usiku 11/1/2021.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.