Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu wa Sita Mhe.Dkt. Amani Karume nyumbani kwake Mbweni

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu wa Sita Mhe.Dkt. Amani Karume alipofika nyumbani kwake Mbweni Jijini Zanzibar  kwa ajili ya kumsalimia na kuzungumza nae, baada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Majid Rahma Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Sita Mhe.Dkt.Amani Karume alipofika nyumbani kwake Mbweni Jijini Zanzibar kwa kumsalimia na kuzungumza nae leo 29-1-2021.
RAIS Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Sita Mhe.Dkt. Amani Karume akiwa na mgeni wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, wakitoka katika ukumbi baada ya kumaliza mazungumzo yao wakati alipofika nyumbani kwake Mbweni kumsalimia.(Picha na Ikulu) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.