Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi mgeni rasmi ufunguzi wa Hoteli ya Lemersenne Michamvi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) na Bw Riaz  Mawani kwa pamoja wakifungua pazia kuifungua Hoteli ya Lemersenne Michamvi Wilaya ya Kusini Unguja yenye hadhi ya nyota tano ikiwa ni katika shamra shamra 57 ya Mapinduzi katika hafla iliyofanyika leo.[Picha na Ikulu] 09/01/2021.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.