Habari za Punde

Shirika la Bima la Taifa (NIC) Mmoja wa Wadhamini ya Kombe la Mapinduzi Cup Kumzawadia Mchezaji Bora wa Imichuano Hiyo Kila Mechi.

Meneja Uhusiano wa Shirika la Bima la Taifa Ndg. Karimu Meshack akimkabidi Mchezaji Bora wa Mchezo wa Kombe la Mapinduzi Kati ya Timu ya Mlandege na Malindi Jaffar Maneno, kuibuka Mchezaji Bora wa Mchezo huo na kukabidjiwa Fedha Tasilim shilingi laki mbili, hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Amaan Jijni Zanzibar. 


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.