MRATIB wa Kituo cha
Majadiliano ya Vijana Zanzibar (CYD) Ali Shaaban Mtwana, akizungumza na vijana
wa kikundi chi vya wajasiriamali Mgelema na Chonga, huko katika banda la
Karafuu Chonga Wilaya ya Chake Chake, kupitia mradi wa Fursa 600 kwa vijana.
AFISA Mdhamini Wizara
ya Habari Vijan Utamaduni na Michezo Pemba Salum Ubwa Nassor, akizunguma na
vikundi vya vijana kutoka Mgelema na Chonga ambavyo vipo chini ya mradi wa
Fursa 600 kwa vijana unaosimamiwa na kituo cha majadiliano kwa vijana (CYD)
Zanzibar.
BAADHI ya vijana kutoka vikundi vya Mgelema na Chonga, wakifuatilia kwa makini mafunzo ya vitendo juu ya juu ya uhifadhi wa fedha, utafutaji wa masoko, suala zima la dhana ya ujasirimali.
(PICHA NA HANIFA SALIM,PEMBA)
No comments:
Post a Comment