Habari za Punde

Innaa lilaahi Wainnaa ilayhi Raajiun Maalim Seif Sharif Hamad - Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.Amefariki Dunia Leo Asubuhi Jijini Dar es Salaam Katika Hospitali ya Muhimbili


Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amefariki dunia wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam leo 17-2-2021 asubuhi saa 5 : 26 alikuwa amelazwa akipatiwa matibabu tokea tarehe 9/2/2021.

Rais  wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi ametangaza siku saba za maombolezo kufuatia kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar. Maalim Seif Sharif Hamad. 

Taarifa kamili tunaileta hivi punde.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.