Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akijadili jambo na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Ajira, Kazi na Vijana, Patrobas Katambi, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na wabunge baada ya kuhitimisha mjadala wa Hotuba ya Mheshimiwa Rais, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli aliyoitoa wakati wa ufunguzi wa Bunge la Kumi na Mbili, Novemba 13, 2020, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na wabunge baada ya kuhitimisha mjadala wa Hotuba ya Mheshimiwa Rais, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli aliyoitoa wakati wa ufunguzi wa Bunge la Kumi na Mbili, Novemba 13, 2020, Bungeni jijini Dodoma, Februari 5, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment