Habari za Punde

Kuagwa Kwa Mwili wa Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi Viwanja Vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo 19-2-2021.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akitoa heshima zake za mwisho kwa liyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John William Kijazi wakati wa kuaga mwili wake katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Ijumaa Februari 19, 2021
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John William Kijazi wakati wa kuaga mwili wake katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Ijumaa. 
Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akitoa heshima zake za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John William Kijazi wakati wa kuaga mwili wake katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Ijumaa.
Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said akitoa heshima zake za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John William Kijazi wakati wa kuaga mwili wake katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Ijumaa.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii na Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA  Mhe. Allan Kijazi akitoa heshima zake za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John William Kijazi wakati wa kuaga mwili wake katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Ijumaa

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.