Habari za Punde

Muonekano wa Daraja la Barabara ya Juu Kijazi Interchange Ubungo Jijini Dar es Salaam.

Daraja la Barabara za Juu Kijazi Interchange kama linavyoonekana pichani mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kulifungua leo tarehe 24 Februari 2021.

PICHA NA IKULU 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.