Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi Amekutana na Kufanyamazungumzo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Mhe Simba chawene Ikulu leo 24/2/2021.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Goerge Boniface Simbachawene (kulia  kwa Rais) wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Khamis Hamza Chilo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Goerge Boniface Simbachawene, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Khamis Hamza Chilo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Goerge Boniface Simbachawene, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Tanzania Mhe. Goerge Boniface Simbachawene baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar alipofika kujitambulisha na kufanya mazungumzo leo 24/2/2021.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.