Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Abdallah Ulega (wa tano kulia
waliosimama) akiwa katika picha ya pamoja nwashindi wa km 21 mara baada ya
kutoa zawadi kwa washindi hao wakati wa Mashindano ya Kimataifa ya Kilimanjaro
Marathon yaliyofanyika leo Februari 28, 2021U wanja wa Ushirika Manispaa ya
Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Abdallah Ulega (kulia) akiwa
katika picha ya pamoja na Lucas Mhavile maarufu kama Joti (katikati) wakati wa Mashindano
ya Kimataifa ya Kilimanjaro Marathon yaliyofanyika leo Februari 28, 2021U wanja
wa Ushirika Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro. Wa kwanza kushoto ni
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo nchini Yusuph Singo.
Baadhi
ya wananchi waliojitokeza kuangalia Mashindano ya Kimataifa ya Kilimanjaro
Marathon yaliyofanyika leo Februari 28, 2021U wanja wa Ushirika Manispaa ya
Moshi Mkoani Kilimanjaro.
(Picha na Eleuteri Mangi, WHUSM-Moshi)
No comments:
Post a Comment