Habari za Punde

Viongozi, Wasanii na Maelfu ya Wanchi Watoa Heshima za Mwisho kwa Hayati Dkt.John Pombe Magufuli Kijiji Chato Mkoani Geita leo.25-3-2021.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Hemed Suleiman Abdullah akiongoza wananchi kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Uwanja wa Magufuli kijijini Chato mkoani Geita leo Machi 25, 20121
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Hemed Suleiman Abdullah akiongoza wananchi kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Uwanja wa Magufuli kijijini Chato mkoani Geita leo.
Joseph, mtoto wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitoa heshima zake za mwisho katika Uwanja wa Magufuli kijijini Chato mkoani Geita leo
Viongozi mbalimbali wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli  katika Uwanja wa Magufuli kijijini Chato mkoani Geita leo.
Makamanda wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Uwanja wa Magufuli kijijini  Chato mkoani Geita leo
Sehemu ya ndugu wa karibu wa marehemu wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Uwanja wa Magufuli kijijini Chato mkoani Geita 
Sehemu ya ndugu wa karibu wa marehemu wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Uwanja wa Magufuli kijijini Chato mkoani Geita leo Machi 25, 20121
PICHA NA IKULU
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.