Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi Ajumuika na Waumini wa Kiislam Katika Sala ya Ijumaa Msikiti wa Amaan Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Hutba ya Sala ya Ijumaa ikisomwa na Khatibu Sheikh Rajab Mohammed Faki.(hayupo pichani) kabla ya Sala iliofanyika katika Msikiti wa Amaan Jijini Zanzibar leo 2-4-2021 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Kiislam baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa Amaan Jijini Zanzibar
WAUMINI wa Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kutowa salamu baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa Amaan Jijini Zanzibar
WAUMINI wa Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kutowa salamu baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa Amaan Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msitiki wa Amaan Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Sheikh Rajab Mohammed Faki na Meya wa Jiji la Zanzibar Mhe. Mahmoud Mohammed Mussa.
Waumini wa Dini ya Kiislam wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (hayupo pichani ) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msitiki wa Amaan Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.