Habari za Punde

Mamadou Sakho wa Crystal Palace atembelea Baraza la WawakilishiMchezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa pamoja na Timu ya Crystal Palace ya Uingereza Mamadou Sakho pamoja na mkewe wake Majda Sakho wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakati alipofika Barazani leo 
Mchezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa pamoja na Timu ya Crystal Palace ya Uingereza Mamadou Sakho pamoja na mkewe wake Majda Sakho wakiwasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar kufuatia mualiko wa mhe Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale mhe Lela Muhammed Musa.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.