Habari za Punde

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Aendelea na Ziara Yake Mkoa wa Mjini Kichama leo.

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Zuberi Ali Maulid na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana, alipowasili katika viwanja vya CCM Mkoa wa Mjini Amaan Kichama, akiwa katika ziara yake kuzungumza na kutowa shukrani kwa Viongozi wa CCM
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwasalimiana Wananchi na Viongozi wa CCM wa Mkoa wa Mjini Kichama, alipowasili katika viwanja vya CCM Mkoa wa Mjini Kichama Amani, akiwa katika ziara yake ya Kichama kuzungumza na Viongozi na Mabalozi wa CCM
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi wa Mkoa wa Mjini Kichama wakiwa katika ukumbi wa CCM Mkoa wa Mjini Amanin wakati wa ziara ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mkutano wa kuzungumza na kutoa shukrani kwa Viongozi wa CCM na Mabalozi wa Mkoa huo.MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akikabidhiwa Risala ya Wanachama wa CCM wa Mkoa wa Mjini Kichana na Katibu wa CCM Nkoa wa Mjini Chima Ndg. Abdalla Mwinyi Hassan, akiwa katika ziara yake ya Kichama.

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Abdalla Juma Sadala (Mabodi) akizungumza katika hafla hiyo kabla ya kumkaribisha Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi. kuzungumza na Viongozi na Mabalozi wa CCM wa Mkoa wa Mjini Kichama, akiwa katika ziara yake
MWANACHAMA wa CCM Jimbo la Shauri Moyo Bi,Nargis Uzi Mohammed akichangia katika mkutano wa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa  ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akiwa katika ziara yake kuzungumza na Viongozi na Mabalozi wa CCM wa Mkoa wa Mjini CCM Kichama, uliofanyika katika ukumbi wa CCM Mkoa Amaan
MWANACHAMA wa CCM Bw.Mohammed Mohammed Salum, kichangia katika mkutano wa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa  ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akiwa katika ziara yake kuzungumza na Viongozi na Mabalozi wa CCM wa Mkoa wa Mjini CCM Kichama, uliofanyika katika ukumbi wa CCM Mkoa Amaan
MJUMBE wa Halmashari Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akifuatilia michango ya WanaCCM, wakati wa ziara yake kuzungumza na kutowa shukrani kwa Viongozi wa CCM na Mabalozi wa CCM uliofanyika katika ukumbi wa CCM Amaan Mkoa Jijini Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama Ndg. Talib Ali Talib na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Abdalla Juma Sadala (Mabodi)
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa CCM wa Mkoa wa Mjini Kichama wakati wa ziara yake kutowa shukrani zake kwa Viongozi hao, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa CCM Mkoa Amaan Jijini Zanzibar.
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa CCM wa Mkoa wa Mjini Kichama wakati wa ziara yake kutowa shukrani zake kwa Viongozi hao, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa CCM Mkoa Amaan Jijini Zanzibar.
WAZEE wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Kichama wakimsikiliza Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwashukuru Viongozi wa CCM na Mabalozi wa CCM wa Mkoa wa Mjini Kichama akiwa katika ziara yake kwa Wananchi wa Mkoa wa Mjini Kichama
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi wakifuatilia hutuba ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Viongozi na Mabalozi wa CCM wa Mkoa wa Mjini CCM Kichama,katika ukumbi wa CCM Mkoa Amaan Jijini Zanzibar 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.