Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Uongozi wa Kijiji cha Watoto SOS Mombasa Zanzibar alipowasili katika Kijiji hicho kwa ajili ya kuwatembelea Watoto na kutoa Mkono wa Eid. kwa Watoto hao hapo jana Mei 14, 2021.
RC TANGA AWATAKA WALIOPANGA KUCHOMA MATAIRI MKESHA WA MWAKA MPYA WASITHUBUTU
-
Na Oscar Assenga, TANGA
MKUU wa Mkoa wa Tanga Balozi,Dkt Batilda Burian amewataka wananchi wa mkoa
wa Tanga ambao wamepanga kutumia matairi kuchoma moto...
7 hours ago
0 Comments