Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza kwa njia ya mtandao (Video Conference) na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani IMF Bi. Kristalina Georgieva, akiwa ofisini kwake Ikulu Chamwino Jijini Dodoma 3 Mei 2021.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment