1. Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Amos Gabriel Makalla
kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika hafla iliyofanyika leo tarehe 19 Mei,
2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
1. Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Omary Tebweta Mgumba
kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe katika hafla iliyofanyika leo tarehe 19 Mei, 2021
Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Stephen NzohabonayoKagaigai
kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro katika hafla iliyofanyika leo tarehe 19 Mei,
2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Brigedia Jenerali
Wilbert Augustine Ibuge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma katika hafla iliyofanyika
leo tarehe 19 Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Charles Makongoro
Nyerere kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara katika hafla iliyofanyika leo tarehe 19
Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Brigedia Jenerali
Charles Mang’eraMbuge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera katika hafla iliyofanyika leo
tarehe 19 Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha David Zacharia
Kafulila kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu katika hafla iliyofanyika leo tarehe 19
Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Rosemary
StakiSenyamule kuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mwanamvua
HozaMrindoko kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi
1. Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Queen Cuthbert
Sendiga kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa
No comments:
Post a Comment