Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Ameufungua Masjid Yaqiin Dundua na Kutowa Ahadi ya Ajira Kwa Wananchi wa Dundua.WAZEE wa Kijiji cha Dundua Bumbwini Wilaya ya Kaskazini B Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Masjid Nuurul Yaqiin Dundua ulioka katika eneo la Kijiji Kipya cha Dundua

WAZIRI wa Maji na Nishati Zanzibar Mhe. Suleiman Masoud Makame akitowa maelezo ya kitaalumu ya Ujenzi wa Nyumba za Kijiji Kipya cha Dundua Wilaya ya Kaskazini B Unguja wakati wa hafla ya ufunguzi wa Masjid Nuurul Yaqiin ulioko katika Kijiji hicho Mkoa wa Kaskazini Unguja


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.