Habari za Punde

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar akutana na Balozi Mdogo wa China Ofisini kwake

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar, Jamal Kassim Ali akizungumza na Balozi mdogo wa China Shang Shisceng kuhusu uboreshwaji wa udhamini wa masoma nchini China walipokutana Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar, Jamal Kassim Ali akifafanua kitu wakati wa mazungumzo yake na Balozi Mdogo wa China  Shang Shisceng Ofisini kwake Vuga.

Balozi mdogo wa China Shang Shisceng  akimpa zawadi ya Vitabu  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Fenda na Mipango Zanzibar Jamal Kassim Ali baada ya mazungumzo yao.
Picha na Makame Mshenga.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.