KATIBU wa Jumuiya ya kupunguza Umaskini na kuboresha
hali za wananchi (KUKHAWA) Hafidh Abdi
Said, akizungumza wakati wa kongamano la kujadili changamoto zinazowakabili
wanwake katika umiliki wa ardhi, lililowashirikisha wanasheria mbali mbali,
wanyakazi kutoka kamisheni ya ardhi na wakfu na maliaman na kufanyika mjini
chake chake.

MRATIB wa mradi wa umiliki wa ardhi kwa wanawake
unaoendeshwa na Jumuiya ya KUKHAWA Pemba, Zulekha Maulid Kheir akitoa umaelezo
kuhusu mradi huo kwa wanasheria, wafanyakazi wa kamisheni ya ardhi na Wakfu na
Maliaman, uliofanyika mjini Chake Chake.
WAKILI wa Kujitegemea Pemba Zaharan Mohamed akichangia mada, katika kongamano la kuchadili changamotio zinazowakabili wanawake katika umiliki wa ardhi, lililowashirikisha wanasheria, wafanyakazi kutoka kamisheni ya ardhi na Wakfu na Maliamana, lililoandaliwa na jumuiya ya KUKHAWA kupitia mradi wa umiliki wa ardhi kwa wanawake na kufanyika mjini Chake Chake.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment