Habari za Punde

Kutoka Baraza la Wawakilishi leo


Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Fedha na Mipango, Mhe Jamal Kassim Ali akiwasilisha hotuba ya mwelekeo wa hali ya uchumi kwa mwaka 2021 na mpango wa maendeleo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa mwaka 2021/2022
Mwenyekiti wa kamati ya bajeti ya baraza la wawakilishi mhe Ali Suleiman Ameir akiwasilisha hotuba ya maoni ya kamati ya bajeti kuhusu majumuisho ya mijadala ya Bajeti za Wizara za SMZ kwa mwaka 2021/2022.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakisiliza kwa umakini  hotuba mpango wa maendeleo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa mwaka 2021/2022.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.