Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Dini Ikulu leo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu wa Dini mbalimbali Zanzibar Askofu Dickson D.Kaganga, walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, Katibu wa Mufti.Sheikh. Khalid Ali Mfaume na Fr.Damas Mfoi wa Kanisha Katoliki Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Dini mbalimbali Zanziubar wakiongozwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) waipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo.9-6-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya kumaliza mazungumzo na Viongozi wa Dini mbalimbali Zanzibar yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
KATIBU wa Umoja wa Dini Mbalimbali Zanzibar Askofu Dickson D Kaganga akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar baada ya kumaliza mazungumzo yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ujumbe huo wa Viongozi wa Dini ukiongozwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar.Sheikh Saleh Omar Kabi.
(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.