Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano wa 12 wa Baraza la Taifa la Biashara katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano wa 12 wa Baraza la Taifa la Biashara katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es salaam
Wajumbe wa Baraza la Taifa la Biashara Tanzania wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) akifungua mkutano wa 12 wa Baraza la Taifa la Biashara lililofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es salaam leo Juni 26,2021.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment