Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Akiwasili Uwanja wa Ndege wa Jijini Dodoma Akitokea Jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Baadhi ya Viongozi wa Serikali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo Juni 29,2021 akitokea Jijini Dar es salaam.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.