Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi Amemtembelea na Kumjulia Halki Bi Asha Simba Makwega

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimskiliza Mwanasiasa Mkongwe na Muasisi wa Umoja wa Wanawake  Tanzania (UWT) Bi.Asha Simba Makwega alipofika nyumbani kwake Kilimani,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo alipofika kumjulia hali.[Picha na Ikulu] 25/06/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi alifika nyumbani kwa mwanasiasa mkongwe na Muasisi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Bi Asha Simba Makwega huko nyumbani kwake Kilimani, Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi kwa ajili ya kumsalimia na kumjuulia hali.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.